Msaada wadau kuhusu nokia xl

Msaada wadau kuhusu nokia xl

Ninayo full boxed nimeitumia two weeks rooted with all google apps include play store for 300k ipo unlocked mitandao yote

sa mkuu airtel shop mlimani city wanaiuza 300k,na ww unaiuza used the same price.xa c bora nikachukue mpya m.city
 
sa mkuu airtel shop mlimani city wanaiuza 300k,na ww unaiuza used the same price.xa c bora nikachukue mpya m.city

Umeambiwa iko unlocked unatumia mitandao yote kaka,kama za mlimani ni za kutumia line ya mtandao mmoja bora uelewane na jamaa akuachie yake. Nionavyo danali baada ya kutaste kaiona haiko kivile alivyotegemea so kaamua aiyeyushe.



Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Airtel wazushi sana. Kwenye tangazo lao gazetini inaonyesha bei ni shs 300,000 lakini ukienda kwenye maduka yao wanakwambia bei ni shs 350,000. Kwa anayetaka kununua aende Shoppers Plaza kuna agent wa Delta Communication anauza shs 320,000 ukikomaa hadi 300,000 anakupa.
 
Back
Top Bottom