Wadau naomba mje mnipe msaada.
jaman tusaidien airtel wanaiuza sh ngap?
laki 3
hata tigo shops zipo mkuu,x na xxl..
Sent from my iPhone using JamiiForums
zimesambazwa karibia tigo shops zote hapa tanzania,285,000 kwa 350,000..km ulipo hazipo zitakuja soon...
Sent from my iPhone using JamiiForums
zimesambazwa karibia tigo shops zote hapa tanzania,285,000 kwa 350,000..km ulipo hazipo zitakuja soon...
Sent from my iPhone using JamiiForums
wameongeza karibu 100,000 kila simu thats not fair
mkuu wanauza kwenye airtel shop zote or ni kwa dar tu mana juzi nimepita airtel shop hapa morogoro sijaziona
mlimani city,airtel shop inauzwa 300k.
wameongeza karibu 100,000 kila simu thats not fair
sa airtel kama wanaiuza laki tatu na tigo wanaiuza laki tatu na nusu c bora ninunue ya airtel au zinautofauti
Mkuu hilo lilisemwa kabla kuwa watatuburuza hawa watu maana hatuna jinsi.
Hawa miDcom nao wako wapi watupe bei stahiki?
mkuu chief nipe ushauri ipi kati ya simu hizi ninunue ,nokia xl ,lumia 630 au lumia 920 na jee wp inaweza kuwa upgraded hadi 8.1
ahsante mkuu kwa ufafanuzi,nikipata mda itabidi niende hapo niipate