JACKBIZZO
Member
- Jul 11, 2013
- 83
- 12
habari wana JF...
nimeona mashine inaitwa Lumber pro, ktk you tube, ila nimejarib kuwatumia mail haijajibiwa kwa muda sasa.
labda kwa wanaojua zaidi ni katika sait gani naweza kufanya process za kununua hii mashine..ni mashine ya kupasua mbao...
msaada wenu tafadjari... mashine ni hii