Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
Wakuu naombeni msaada yeyote anayefahamu jinsi ya kuzipata zile activities zinazoandikwa kwenye Memorandum of Association.
Najua zile huwa hawazitungi maana nimepitia baadhi nyingi naona zina viingereza vilivyoenda shule kwa hiyo nina uhakika kuna mahali wanazitoa halafu wanaedit.
Na mimi naombeni msaada zinakopatikana.
Asante.
Karibuni Mbagala.