Mkuu Kiherehere, Asante kwa Link uliyonipa. Nimeifuata vizuri lakini imefika sehemu imegota. Kwanza haikuanza kwenye interface kama muongozo unavyoonysha bali imekwenda moja kwa moja hadi hatua ya tatu na ikafika mahali inataka ni-save faili moja 'file.bin' lakini kwenye hatua ya nne ikaniambia nili-run tena lile faili, likakataa kabisa ku-run. Naona nianze maumivu tu ya kununua Modem ya Zain maana huku shamba niliko ni Zain tu ndio inabisha hodi!!
...Mkuu Gurta, ile link uliyonipa na ikasema 'File not Found' ndio hiyo ambayo Mkuu Kiherehere amenipa na haina matatizo ila tu nimefika hatua ya nne ikaniambia ni-save file file.bin nikalisevu lakini kwenye hatua ya tano ikanitaka nili-run tena, ili kupata interface inayofuata, mchezo ukaishia hapo. file likakataa kabisa kufunguka ingawaje tatizo nahizi liko kwenye comp yangu kukosa 'kifungulio' cha aina ya hilo faili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.