Msaada wa wazo tafadhali

Depretty

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
248
Reaction score
99
.habr wana jf..

naomba ushauri/wazo ni kozi gani ambayo inaweza ikanifaa kutokana na matokeo yangu... ninemaliza kidato cha 4mwaka 2011,nakupata dvsion 4ya 30 yaani d4 ya english..civis..kiswahili,geograhpy....
naomba kupewa wazo juu ya kozi gani ambyo inaweza ikanifaa kutkana na matokeo yangu pia kutokana na ugumu wa ajira..nimewai kusomea customer care bt naitaji kupata ujuzi zaid..nataman kusomea nursing bt cjajua ni chuo gani kinaweza kunipokea kutkana na hayo matokeo...
asanten
 
thankx..kwa ushauri wenu..ngja waje na wengne..nione mawazo yao
 
Nenda kasome chuo utalii college wanapokea d kuanzia2 zilizothbtshw na nacte na soko la ajira lipo wazi..
 
Nenda veta dsm kasomee maabara,january hii ndo wanaanza haujachelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…