Buruguja Member Joined Jul 29, 2019 Posts 46 Reaction score 55 Sep 29, 2021 #1 Wadau poleni na Majukumu ya kujenga uchumi wa nchi, Naombeni msaada wa mada tajwa hapo juu kwa ngazi ya Degree
Wadau poleni na Majukumu ya kujenga uchumi wa nchi, Naombeni msaada wa mada tajwa hapo juu kwa ngazi ya Degree
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 6,289 Reaction score 10,999 Sep 29, 2021 #2 Ukihitaji chuo cha ufundi wa majeneza kwa ajili ya vijana waliofeli darasa la saba na form 4 kwa hapa Dom nistue mkuu.
Ukihitaji chuo cha ufundi wa majeneza kwa ajili ya vijana waliofeli darasa la saba na form 4 kwa hapa Dom nistue mkuu.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,928 Reaction score 77,192 Sep 29, 2021 #3 Mbwa dume said: Ukihitaji chuo cha ufundi wa majeneza kwa ajili ya vijana waliofeli darasa la saba na form 4 kwa hapa Dom nistue mkuu. Click to expand... Ndiyo Hapo Jirani Na Airport ,Chako Ni Chako Ndiyo Mnapojifunza
Mbwa dume said: Ukihitaji chuo cha ufundi wa majeneza kwa ajili ya vijana waliofeli darasa la saba na form 4 kwa hapa Dom nistue mkuu. Click to expand... Ndiyo Hapo Jirani Na Airport ,Chako Ni Chako Ndiyo Mnapojifunza
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,819 Reaction score 2,061 Sep 29, 2021 #4 Kwa Dodoma hakuna,