Huhitaji VISA labda kama ukiapata kazi kule ndio una apply working permit.
Hiyo sio visa ni permit. Unachukua ofisi za uhamiaji za S.A kama unasoma lazima uwe na documents zote za shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilivyokusoma ni kuwa uko S.A. ambako ulienda ka kugongewa visa ya muda mfupi na sasa unataka kuishi kwa muda mrefu lakini huna karatasi yoyote unayoweza kuitumia kuomba permit ya kuishi ya muda mrefu. Kwa mawazo yangu nadhani swala lako ni gumu sana hasa kwa sababu kuna wazamiaji wengi wanaotumia njia ya udanganyifu kama hii. Sikukatishi tamaa lakini swala lako ni gumu na mbaya zaidi hukujitayarisha na huna information zozote. Pengine kuna njia ya kufikia kwenye mwafaka, tusubiri wengine wakupe ushauri.
Ni study permit muongozo wa muda mrefuNilivyokusoma ni kuwa uko S.A. ambako ulienda ka kugongewa visa ya muda mfupi na sasa unataka kuishi kwa muda mrefu lakini huna karatasi yoyote unayoweza kuitumia kuomba permit ya kuishi ya muda mrefu. Kwa mawazo yangu nadhani swala lako ni gumu sana hasa kwa sababu kuna wazamiaji wengi wanaotumia njia ya udanganyifu kama hii. Sikukatishi tamaa lakini swala lako ni gumu na mbaya zaidi hukujitayarisha na huna information zozote. Pengine kuna njia ya kufikia kwenye mwafaka, tusubiri wengine wakupe ushauri.
Sasa ndugu yangu study permit unaitafuta bila kuwa na shule ilikupa admission? Nadhani kwanza ungetafuta shule/chuo cha kusoma halafu wao wakikupa barua ya addmision ndiyo unaitumia kuomba. Nadhani utakuwa na kazi ngumu sana.
Sasa ndugu yangu study permit unaitafuta bila kuwa na shule ilikupa admission? Nadhani kwanza ungetafuta shule/chuo cha kusoma halafu wao wakikupa barua ya addmision ndiyo unaitumia kuomba. Nadhani utakuwa na kazi ngumu sana.
Du kimya hiko.....Vyeti nimeacha vyangu nimeviacha Tz nataka nitoke hapa kuludi nyumbani nikiwa na barua ya chuo yani wametaka niwape vyeti ili ndo nisajiliwe kama beginner wa program ndo nitaweza kuwa na barua ya chuo msaada nikupata afisa wa chuo atakaye niwezesha kupata hayo makaratasi. Ni kwa anaye wafahamu hao watu wa vyuo
Sent using Jamii Forums mobile app