Msaada wa VISA ya Afrika Kusini

Msaada wa VISA ya Afrika Kusini

Namna ya kuzipata hizo documents za shule muongozo please

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilivyokusoma ni kuwa uko S.A. ambako ulienda ka kugongewa visa ya muda mfupi na sasa unataka kuishi kwa muda mrefu lakini huna karatasi yoyote unayoweza kuitumia kuomba permit ya kuishi ya muda mrefu. Kwa mawazo yangu nadhani swala lako ni gumu sana hasa kwa sababu kuna wazamiaji wengi wanaotumia njia ya udanganyifu kama hii. Sikukatishi tamaa lakini swala lako ni gumu na mbaya zaidi hukujitayarisha na huna information zozote. Pengine kuna njia ya kufikia kwenye mwafaka, tusubiri wengine wakupe ushauri.
 
Ni study permit muongozo wa muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyeti nimeacha vyangu nimeviacha Tz nataka nitoke hapa kuludi nyumbani nikiwa na barua ya chuo yani wametaka niwape vyeti ili ndo nisajiliwe kama beginner wa program ndo nitaweza kuwa na barua ya chuo msaada nikupata afisa wa chuo atakaye niwezesha kupata hayo makaratasi. Ni kwa anaye wafahamu hao watu wa vyuo
Sasa ndugu yangu study permit unaitafuta bila kuwa na shule ilikupa admission? Nadhani kwanza ungetafuta shule/chuo cha kusoma halafu wao wakikupa barua ya addmision ndiyo unaitumia kuomba. Nadhani utakuwa na kazi ngumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyeti nimeacha vyangu nimeviacha Tz nataka nitoke hapa kuludi nyumbani nikiwa na barua ya chuo yani wametaka niwape vyeti ili ndo nisajiliwe kama beginner wa program ndo nitaweza kuwa na barua ya chuo msaada nikupata afisa wa chuo atakaye niwezesha kupata hayo makaratasi. Ni kwa anaye wafahamu hao watu wa vyuo

Sent using Jamii Forums mobile app
Du kimya hiko.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom