Vf-successfully
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 252
- 166
- Thread starter
- #21
Siyo permanent residents permit ni temporary residents permit ambayo kwa jina lingine ni Visa huwa inaanzia miaka miwili na kuendelea.
Nadhani unaongelea residence permit itakayokuruhusu kuishi na kufanya kazi kwa muda wote.
Idara ya uhamiaji ya SA ndiyo wanatoa hiyo kitu ukiwa huko. Jaribu kutafuta tovuti rasmi yao utapata maelezo kamili.
Ikiwa unahitaji kukaa kwa muda usiozidi miezi mitatau yaani kutembea tu bila kufanya kazi mtanzania huhitaji visa.
Ikiwa ndiyo hivyo huhitaji kufanya kazi lakini unataka kukaa muda zaidi ya miezi mitatu basi siku mbili kabla miezi mitatu haijaisha vuka mpaka nchi jirani kisha rejea. Waweza fanya mara nyingi kila miezi mitatu inapokaribia kuisha.