Katika video edit sizani kama after effects....kama unaanza anza na movie maker...i google ni free!!! Ukiwa serious uanze pia kuputia after effects...angalia video zake kwenye youtube!!!
Mkuu Chief-Mkwawa ninayo hii but inanisumbua wakati Wa mwisho kabisa nikitaka kusave video inagoma inaandika hivi..
"Windows Movie Maker cannot save the movie to the specified location. Verify that the original source files used in your movie are still available, that the saving location is still available, and that there is enough free disk space available, and then try again.".