Habari ndugu zangu,
Samahanini jamani, nimekuwa nashindwa kuzichukua baadhi ya video kwenye istagram, kwahiyo naomba msaada wenu mnijuze downloader itakayoniwezesha kupakua video bila shida.
Achana na instagram ya playstore nenda google search instagram+ ina option ya downloadHabari ndugu zangu,
Samahanini jamani, nimekuwa nashindwa kuzichukua baadhi ya video kwenye istagram, kwahiyo naomba msaada wenu mnijuze downloader itakayoniwezesha kupakua video bila shida.
Tumia oginstagram OGInsta+ (Android)Habari ndugu zangu,
Samahanini jamani, nimekuwa nashindwa kuzichukua baadhi ya video kwenye istagram, kwahiyo naomba msaada wenu mnijuze downloader itakayoniwezesha kupakua video bila shida.
usihangaike sana mkuu, ingia kwenye browser yako, search 'instagram plus'. download then instal kwenye cm yako, toa ile official insyagram.. hyo instagram plus ina option ya kudownload picha na video, haina haja ya kujaza maaplication mengi...Habari ndugu zangu,