Rafiki yangu kapanga chumba na sebule anaishi na mkewe.
Anatarajia kupokea wageni ambao ni wazazi wake toka mkoani watakaa kama week wanakuja kwenye harusi.
Jamaa anawaza wazazi wakifika umo ndani walale vipi ukizingatia wote wanandoa.
1.wazazi walale sebuleni wao chumbani kama kawaida.
2.wazazi walale chumbani wao wahamie sebuleni kwa mda.
3. Mke na mama mkwe walale chumbani baba na kijana walale sebuleni.
4.wanaume chumbani wanawake sebuleni.
Ushauri tafadhali wapendwa.