NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,025
- 688
Du kaka nakushauri fanya biashara ya pembe za ndovu tu utawin harakaHabarini Wadau Wa Jukwaa Hili,
- Mimi Ninavutiwa Sana Haya Masuala Ya Fashion - Sasa Nimefikiria Kuanza Mradi Wangu Rasmi Wa Mavazi Kama Nilivzotaja Hapo Juu, Naomba Mwenye Kujua Abc Za Haya Mambo Anisaidie.
- Zaidi Naomba Kujua Kuhusu Mambo Yafuatayo;
1.Je, Naweza Kuprint Nguo Bora Kabisa Aina Zote Kama Hoods, Viatu, Kofia, Socks, Mabegi, Majinsi Nk Hapa Hapa Tanzania - Na Kama Ni Hapa Ni Maeneo Gani Wanapatikana ?
2.Je, Gharama Za Kuanzia Inaweza Kuwa Kama Kiasi Gani ?
3.Je, Kama Hakuna Kwa Hapa Tanzania Inatakiwa China, Naweza Pata Abc Za Utaratibu Ukoje ?
4.Mambo Mengine Unayojua Unayoweza Kunisaidia ?
Nitashukuru Kwa Msaada
Fasta nione nikufunze mambo hayo
Na unamtaji wa sh ngapi vile