Msaada wa Ushauri: Kununua Toyota V8

Fanya mpango ukanunue tu ila nikuhakikishie utalipaki kabla ya jogoo wa mwaka mpya kuwika
 
V8 ni ukubwa/nguvu ya Engine.. Je ni model gani?
 
V8 ni engine sio gari akuna gari ya Toyota inaitwa V8
Ila kuna injini za toyota zenye V8,V6

Ata toyota supra ni V8, kuna crown zina injini ya v8,v6

Lakin pia unaweza kununua harrier ukaipeka gereji za kijanja ukatoa injini iliyomo wakakuwekea injini ya V8
 
Toyota v8 ni nini? Au unamaanisha Toyota Land Cruiser V8??
 
Msaada wa Ushauri: Kununua Toyota V8.

Wakuu, niliuza eneo ndo nimepata pesa sasa maswali hela nimepata wapi nishajibu, kwahiyo sasa nina pesa.
juzi nimepita online nimeona tangazo kuna gari kali V8 inauzwa na nimelipenda na ni Toyota V8 namba D kali sana, hii imekuwa ndoto yangu kubwa kulimiliki sasa nataka nilinunue maana bajeti inatosha,

Je, kwa umri wangu wa miaka 25, ni uamuzi sahihi? Nipe ushauri wenu kwa uzoefu. Ila ushauli wa biashara sitaki.
 
Utoto raha, naona mna weekend ndefu...mpaka j'tatu tutakuwa tumenyooka! Usisahau home work mdogo wangu.
 
Hongera mkuu, hapo sahau kusimamishwa ovyo na Matrafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…