Msaada wa ushauri kuhusu kozi ya Diploma ya Clinical Medicine

Kama upo private waweza ukafanya mpango ukaamia chuo cha serikali ndugu ila inatakiwa ukalie sana kwa wajamaa so fanya ivyo maana serikali ada ni raisi zaidi maana hiyo million 3 ni ada yangu ya miaka mitatu full michango yote,......karibu mtwara cohas(cotc)

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe mbinu za kuhama. Nifuate utaratibu gani? Mtwara COhas niref chake ni kpi?
 
Kama upo private waweza ukafanya mpango ukaamia chuo cha serikali ndugu ila inatakiwa ukalie sana kwa wajamaa so fanya ivyo maana serikali ada ni raisi zaidi maana hiyo million 3 ni ada yangu ya miaka mitatu full michango yote,......karibu mtwara cohas(cotc)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu habari..mimi nimechaguliwa hapo coctc mtwara nilikuwa naomba mawasiliano yako mkuu
 
Kama upo private waweza ukafanya mpango ukaamia chuo cha serikali ndugu ila inatakiwa ukalie sana kwa wajamaa so fanya ivyo maana serikali ada ni raisi zaidi maana hiyo million 3 ni ada yangu ya miaka mitatu full michango yote,......karibu mtwara cohas(cotc)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbe upon hapo.. Enzi nipo Hapo Mjini chuo Fulani tumewafunga sana Netball na football.
Chuo chetu na hicho Cotc tulikuwa ni ndugu sana sijui sasa kama kuna vibe kama zile
 
Back
Top Bottom