Msaada wa ushauri katika hili; Blind decision

Sio sahihi kwa sababu sio wanaume wote tupo hivyo so mmoja akiharibu isiwe sababu ya ww kutopenda tena huenda bado chaguo lako hujapata
You're right kuhusu hilo dear.. Mungu atanionyesha aliye sahihi but not this soon
 
Mpe haki ya kumuona mtoto wake na kumuhudumia akitaka. ILA TU usikubali kurudisha penzi lako kwake.
 
usitufiche bado unampenda.. nimeng'amua hilo.. lkn ktk akili yako unatakiwa utambua huyo ni mtu hatari kwako!,unapenda kuishi na mtu hatari ktk maisha yako..?
najua hupendi usiache upendo wako ukakulaghai..
mtoto ni wenu,mwache mtoto amjue baba ukweli ataujua akikuwa mwache asome
 
Una mawazo mazuri sana, ni kweli huyu dada anampenda jamaa kupita kiasi ndiyo maana ameshindwa kuolewa na mwanaume mwingine.
 
Asante ushaur wako ni mzuri tena wenye hisia.. Kuhusu kumpenda ilinichukua miaka minne kuamini Kama kweli sipo nae Tena kimapenzi na nlikonda nkaisha... Nkaamua kumng'oa moyon kwa nguvu tena bila ya ganzi.. Kilichotokea sasa ni kuwa siyo yeye Simpendi kiumbe awaye yote aitwe mwanaume na automatically nmekuwa mwenye hasira linapokuja swala la mahusiano ya kimapenzi
 
Una mawazo mazuri sana, ni kweli huyu dada anampenda jamaa kupita kiasi ndiyo maana ameshindwa kuolewa na mwanaume mwingine.
Alikua kwangu zaid ya MUME na nmtazapo mwanetu roho yangu huzimia ila Simpendi tena kuja alale kifuan pangu.. It's over
 
karma has no menu,he gives u what u deserve
plz usiwe kama mke wa Ruthu utageuka mwamba wa chumvi,move on never luk back,
Honest is valuable thing don't expect from the cheap people
ulizaliwa peke yako ,utakufa peke yako, huruma zilimponza punda wa dobi akaliwa na simba mzee
 
Na usipokuwa makini huyu jamaa atakuja kukuua, bado unampenda sana tena kupita kiasi. Be careful utakufa na huyo mtt wako atapata shida zaidi, Mungu amekusaidia umepata kibarua usivyo na akili umeanza kumuwaza mtu ambaye hana nia njema na wewe.
 
Well speaking dear... Asante Sana for your consideration
 
Pole sana dada. Tatizo katika mambo haya ya mahusiano ya aina hii wanaoumia na kuathirika ni watoto. Kuna watu humu mtaandika na kutokwa na mapovu bila ya kujua maumivu na athari alizopata huyo mtoto. Nakuomba dada yangu piga moyo konde kwa sababu ya huyo mtoto wetu. Mpe nafasi ya kumjua baba yake,sina maana ya kwamba mrudiane kimapenzi...la hasha! Ila msamehe ili mtoto wetu apate malezi bora ya wazazi wawili hata kama hamuishi pamoja. Watoto huwa wanaathirika sana sana sana.
 
Na usipokuwa makini huyu jamaa atakuja kukuua, bado unampenda sana tena kupita kiasi. Be careful utakufa na huyo mtt wako atapata shida zaidi, Mungu amekusaidia umepata kibarua usivyo na akili umeanza kumuwaza mtu ambaye hana nia njema na wewe.
Najua hukulenga kunitusi uliposema sina akili na yes nlirajiria maneno km haya ila what i need is a better consultation from you guys kuhusu mtoto wetu na sio babake kwan I've the decision kuhusu hilo na pengine ninapo share na ninyi ndugu zangu mnaweza nifungue zaid ya niwazavyo.. Ila to be honest and frank with you darling I'm disappointed with that language you used in this comment do not call me mjinga pls darling I love no body now even if mbingu zifunguke and tells me to...
 
Mwache awe na uhuru kwa mtoto wake,unayemlea. Huenda akawiwa kumsaidia baba yake. Wewe hakuhusu tena achana naye.Msaada akatafute tu mbele coz hata kwenu wahitaji wapo,saidia hao na hutawamaliza.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
licha ya kuwa mzazi mwenzio tena mwenye cheo kikubwa na pesa kipindi hicho alishindwa hata thamini damu yake mwenyewe hata kama alikuwa hakupendi ww? kuna la kujifunza hapo, anyways unaonekana una roho ya imani sana dada msaidie tu hata kama alikutenda vibaya kwa mustakabali wa mwanenu, lakini usiruhusu achukue nafasi moyoni mwako tena aishie shingoni tu moyo upunguzie shida maana sisi vigeugeu utampa nafasi leo kesho ashasahau.
 
Pole sana dada. Tatizo katika mambo haya ya mahusiano ya aina hii wanaoumia na kuathirika ni watoto. Kuna watu humu mtaandika na kutokwa na mapovu bila ya kujua maumivu na athari alizopata huyo mtoto. Nakuomba dada yangu piga moyo konde kwa sababu ya huyo mtoto wetu. Mpe nafasi ya kumjua baba yake,sina maana ya kwamba mrudiane kimapenzi...la hasha! Ila msamehe ili mtoto wetu apate malezi bora ya wazazi wawili hata kama hamuishi pamoja. Watoto huwa wanaathirika sana sana sana.
Hicho Ndio kitu kinachoniumiza akili.. Huyu mtoto anauliza kuwa MI naitwa (Suzanne Benedict.. Siyo jina halisi) lkn mbona simuon baba huyo Benedict na shulen wenzangu baba zao wanakuja
 
Back
Top Bottom