Unaweza ukamwambia mtoto ukweli, na ukamweka wazi kwa yote, nachokwambia tu, "Kama anakuomba hela ukipendezwa mpe lakini asije akakurubuni tena ukaja kuishi nae, kumbuka alivo kutenda, usilipize msaidie kwa utakavopenda lakini usimruhusu akawa karibu yako tena.Asante dear.. Moyoni sina upendo uliobaki juu yake waswas wangu ni juu ya mtoto
Asante Sana... Hivo busara ni ipi nimwite kwa wazee na kumuweka wazi kuhusu ukaribu nami au nmtimue huyo anaenisumbua kila mara nyumban (mshenga) au nihameUnaweza ukamwambia mtoto ukweli, na ukamweka wazi kwa yote, nachokwambia tu, "Kama anakuomba hela ukipendezwa mpe lakini asije akakurubuni tena ukaja kuishi nae, kumbuka alivo kutenda, usilipize msaidie kwa utakavopenda lakini usimruhusu akawa karibu yako tena.
Thank you kaka.. I got your point and I will work on it... BarikiwaUshauri wangu uko hivi:-
1) Never put temporary people in the permanent place of your life.
2) Never hesitate to remove the wrong people from right place of your life.
3) Be strong and bold in important decisions about your life and family.
Asante Sana.. Ushaur huu nitaufanyia kazi mapema Sana coz I'm tired na usumbufu wao kwasababu mara ya kwanza mshenga wake aliponipigia simu na kuhitaji kuniona nlimkaribisha nyumban so anapajua na wamekuwa very excited kujua ni wapi nafanyakazi lkn sikuwaonyesha.. Barikiwa kaka yangu[emoji122]Kwanza mwambie ukweli mshenga, kwamba amwambie umemsamehe kwa yote, ila asahau kuhusu kurudiana na wewe, asipo sikia mwite kwa wazee umwambie hayo mbele yao ila kama moyo wako unampenda japo ya kukufanyia hayo yote unaweza kumrudia ila ni hatari kwako.
Asante kaka wangu... Awe na amani tu kuhusu mwanetu ila juu ya Moyo wangu kanifunga kumpenda yeyote yule najipenda mwenyewe tuuuAkiomba hela mpe kama utakuwa nayo, akitaka kumuona mwanae mruhusu akikutaka ww hapo ishu nyengine tena nadhani maamuzi zaidi yatatoka kwako
Amen, nawe pia, kwenye ulinzi hapo umenigusa sana, moyo umeniuma ukizingatia wewe ni mwanamke na kazi hizo navozijua ni za hatari, Daah MUNGU azidi kukupigania na azidi kukufuta machozi kwa kukuzidishia mema.Asante Sana.. Ushaur huu nitaufanyia kazi mapema Sana coz I'm tired na usumbufu wao kwasababu mara ya kwanza mshenga wake aliponipigia simu na kuhitaji kuniona nlimkaribisha nyumban so anapajua na wamekuwa very excited kujua ni wapi nafanyakazi lkn sikuwaonyesha.. Barikiwa kaka yangu[emoji122]
Sio sahihi kwa sababu sio wanaume wote tupo hivyo so mmoja akiharibu isiwe sababu ya ww kutopenda tena huenda bado chaguo lako hujapataAsante kaka wangu... Awe na amani tu kuhusu mwanetu ila juu ya Moyo wangu kanifunga kumpenda yeyote yule najipenda mwenyewe tuuu
Amen amen kaka.. Sikuwahi kukata tamaa hivyo nlisema kheri nife mimi mwanetu aishi nkasema ntafanya kazi yoyote iliyo halali.. Can you imagine 150,000 per month.. Lkn Alhamdulillah mungu hajanitupa japo ile Kaz ni ngumu jamanAmen, nawe pia, kwenye ulinzi hapo umenigusa sana, moyo umeniuma ukizingatia wewe ni mwanamke na kazi hizo navozijua ni za hatari, Daah MUNGU azidi kukupigania na azidi kukufuta machozi kwa kukuzidishia mema.