Kama unaamini kwenye cheap things but end expensively basi njoo fastjet lakini kwa maana halisi ya safari ya anga rwandair wako vizuri. Angalizo: ucheap wa fastjet uko kwenye makaratasi na advert zaidi!
nashauri rwanda airways hata kuliko jamaa wanajiita jet hakuna kitu mkuu walishanitenda siwapendi to be honest utatupa mrejesho baada ya safari kama utatumia jet hizi