Nakubaliana na wewe mkuu hii ya kwetu shida ni umeme ulikuja mdogo tu ndio ilio sababisha kufa.Mara nyongi hizo submersible hua zinaungua coi, mimi nilikua nayo moja kwa matumizi ya nyumbani tu na kisima change kina urefu wa futi 52 na yenyewe ina 1hp, well zinatengenezeka kwa mafundi wengi tu wa mtaani. Ninacho kushauri ni hiki, nyingi za hizi pump hua hazitaki umeme unao fluctuate sana na hiyo ndio sababu why zinaungua, dogo mmoja alinifungia box moja hivi (nakumbuka yeye ndio alinituma dukani kwenda linunua) nalisahau jina, since nimefunga pump imetulia. Kingine ni aina na wapi imetengenzwa, pump nyingi za China sio durable kabisa, hi niliyo nayo ni made Italy
Try Europe made, achana na hizo za China mkuu.Nakubaliana na wewe mkuu hii ya kwetu shida ni umeme ulikuja mdogo tu ndio ilio sababisha kufa.
Sisi tulifunga control box ambayo kazi yake ni ku stabilizer umeme unaotakiwa lakini wala haikusaidia kitu ila yote ni mede in china.
Labda nikuulize swali je? Hizo water pump mmefunga na control box?au mmefunga moja kwa moja na je? Kama mmefunga control box mmefunga ya single fase au 3ph?nawatakia heri na amani wakuu
naomba msaada wa maelezo kuhusu water pump .
ni kisima chenye urefu wa mita 78 kwenda chini na maji yanatoka hapo mpaka kwenye tenki umbali wa mita 420. mara ya mwisho tulifunga water pump ya hp 3 lakini ilidumu kwa niezi 4 tuu na kabla ya hapo ilitoka ilio dumu kwa miezi 7 lakini pia iliharibika nyingine iliodumu kwa miaka 5 na zote ni hp 3 na umeme inaotumia ni 3 ph. tatizo limekuja ndani ya miezi kumi zimeshaungua 3 na zote garama yake mil 3 kwenda juu. ombi langu kwenu wakuu ni wapi tunaweza kupata water pump zilizo imara? na je hakuna utaalamu wa kuzitengeneza hizi zilizo haribika? na garama yake ni rafiki au ni aheri kununua mpya?
ninawatakia kila lililo jema waheshimiwa.
Isije kuwa ni ampera zimenasia anasema imeungua .. maana mle ndani kukiingia hata kichenga chenge uzito wa 0.00000gm haiendi ng'oMara nyongi hizo submersible hua zinaungua coi, mimi nilikua nayo moja kwa matumizi ya nyumbani tu na kisima change kina urefu wa futi 52 na yenyewe ina 1hp, well zinatengenezeka kwa mafundi wengi tu wa mtaani. Ninacho kushauri ni hiki, nyingi za hizi pump hua hazitaki umeme unao fluctuate sana na hiyo ndio sababu why zinaungua, dogo mmoja alinifungia box moja hivi (nakumbuka yeye ndio alinituma dukani kwenda linunua) nalisahau jina, since nimefunga pump imetulia. Kingine ni aina na wapi imetengenzwa, pump nyingi za China sio durable kabisa, hi niliyo nayo ni made Italy
Ndo maana nilianza kujua tuu mmenunua za bei rahisi...Nakubaliana na wewe mkuu hii ya kwetu shida ni umeme ulikuja mdogo tu ndio ilio sababisha kufa.
Sisi tulifunga control box ambayo kazi yake ni ku stabilizer umeme unaotakiwa lakini wala haikusaidia kitu ila yote ni mede in china.
Akikosa hiyo anunue ya italy ila kidogo ajiandae na bei maana ya 3ph alafu 3h.p kidogo ni parefuTry Europe made, achana na hizo za China mkuu.
Jaribu kumtafuta fundi alie karibu akuchekia huenda tatizo ni hiloMkuu siwezi jua ndio maana nimeuliza kama kuna uwezekano wa kutengeneza.
Contol box tumefunga mkuu na ni 3 ph pia. Isipokua hio hio pump ilikua inahitaji umeme wa v384 lakini umeme wa tanesco ulikua unasoma v 370 fundi alikuja ongeza kifaa ili ku stabilizer huo umeme ndio mashine ikafanya kazi ila haikudumu miezi 4Labda nikuulize swali je? Hizo water pump mmefunga na control box?au mmefunga moja kwa moja na je? Kama mmefunga control box mmefunga ya single fase au 3ph?
Na baada ya hapo hizo pump mnazonunua ni hizi xiabosh za kichina au kitu cha italy?
Inategemea h.p unayotaka na kampuni ganiMkuu inaweza kuwa shilingi ngapi ndugu yangu
Through uzoefu wangu, hiyo itakua imeungua coil, angalia mchango wangu wa kwanza kabisa, nilihisi ni power fluctuation na ndio alivyo sema, so kusuka coil ni shughuli nyingine though inawezekana tena kwa mafundi wa mtaani tu; Impela ikiharibika, that is mechanical problem na sio electrical so motor ingetembea but isinge pump maji to anywhere!Isije kuwa ni ampera zimenasia anasema imeungua .. maana mle ndani kukiingia hata kichenga chenge uzito wa 0.00000gm haiendi ng'o