buyoya419
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 631
- 512
Nina dogo langu ameng'ang'ania kusomea ualimu amemaliza six ila hajafikisha point za kuchaguliwa degree
Nikaamua nimuombee vyuo vya ualimu vya kuanzia certificate na amechaguliwa Mpwapwa tc
Hivi inawezekana akaomba uhamisho wa chuo ahamie chuo kingine kama hivyo vya tc labla vikindu tc