Poa mkuuWanakuja wajuzi
Nashukuru mkuu ntazngatia ushaur.Anywe maji ya kutosha
Asizungumze zungumze
Sababu ya maumivu hayo Ni kutopewa drip za kutosha na kutopata muda wa kupumzika Mara baada ya kupata faham
Asnte kwa ushaur ndgu.Jaribu kumeza vitunguu swaum punje 5 usiku unapoll na punje 3 ukiamka kwa siku 7 unywe lita2-3 za maji kwa siku. Usisahau kuja kuleta feedback. Utahisi mapigo ya moyo kwenda mbio, usiogope ni kawaida ukiona kero punguza idadi ya punje
Asnte mkuuPia jaribu kumkanda mgongoni na kichwani kwa kutumia mafuta ya karafuu,au olive.
Shukran kwa ushaurKwanza ajikaze, asilale Sana, jion na asubuhi atembee hata azunguke ndani, maji anywe mengi ya kutosha.
Halo ikizidi kuwa mbaya amwone daktari!!
Asnten!!Habari!
Poleni, hilo linalomkuta mkeo ni moja ya tatizo ambalo huwakumba wanawake wengi waliofanyiwa upasuaji wa uzazi (c/s).. Maranyingi ni kutokana na zile sindano zinazochomwa chini ya kiuno.
Tatizo la mkeo litaisha japo maumivu huwa yanarudi kwa mbali hasa kipindi cha baridi huko mbeleni.
Ushauri wetu afyakliniki ni kuwa fika hospital kwa huduma zaidi iwapo hali hiyo itaendelea kwa zaidi ya wiki 2.
Asante na Karibu
ShukraniPole sana ukitoka operation huwa hawaruhusu kuongea seems mgonjwa wako alianza kuongea baada ya kutoka na hayo ndo madhara yake. Afanye mazoezi ya kutembea, anywe maji mengi sana kitaacha chenyewe. Hyo sindano kuuma huwa ni shida kwa walio chomwa sindano ya mgongo. Hapo atafte wale wakufanyisha mazoezi ya misuli. Nilishaapa sitaruhusu Dr anachoma sindano ya mgongo bora anizime kabisa.
Vitunguu saumu vinasababisha damu kuwa nyepesi kwa mwenye kidonda haruhusiwi kunywa au anatarajia kufanyiwa operesheniJaribu kumeza vitunguu swaum punje 5 usiku unapoll na punje 3 ukiamka kwa siku 7 unywe lita2-3 za maji kwa siku. Usisahau kuja kuleta feedback. Utahisi mapigo ya moyo kwenda mbio, usiogope ni kawaida ukiona kero punguza idadi ya punje
Shukrani
Shukran snVitunguu saumu vinasababisha damu kuwa nyepesi kwa mwenye kidonda haruhusiwi kunywa au anatarajia kufanyiwa operesheni