Msaada wa tiba au ushauri kwa maumivu makali ya kichwa na mgongo kwa mwanamke aliyejifungua kwa operation

carbamazepine

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
41,132
Points
2,000

carbamazepine

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
41,132 2,000
Kuna kuwaga na maudhi madogomadogo baada ya kuchomwa hiyo sindano na moja wapo ni hali hiyo ya kuumwa mgongo,miguu na kichwa.

Na ndiyo maana wagonjwa hawashauriwi kuinua kichwa ama kuongea ongea sana mara baada ya kufanyiwa upasuaji.

Mshauri mgonjwa afanye mazoezi,anywe maji mengi na apate muda wa kupumzika.

Maumivu yakizidi amuone daktari
 

Forum statistics

Threads 1,390,217
Members 528,114
Posts 34,046,232
Top