Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,696
- 1,777
Mbona unanichukulia kama unanijua sana.. aisee.. mipasho yako peleka facebook..Ilifanya tamaa tu ya ukubwa wa betri 4000mah ungenunua a10 isiyo na s haya yote usingeyapata ila kiherehere chako japo ukaaji wa chaki a10 inakaa na chaji sana maana haina mambo mengi yakufanya cm itumie chaji sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Du pole sn...na mm ya kwng ni kama yako na ina shida hizo hizo..inaelekea hizi samsung A10s zina tatizo hilo..Wakuu, habari!
Nina simu tajwa hapo juu, ambayo nimenunua kama mwezi hivi umepita.
Shida kuu ni ku stuck/freeze mara kwa mara, zaidi sana nikiwa naandika sms.. na wakati mwingine kioo kinakuwa kama kina tetemeka.
Msaada kwa wajuvi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, habari!

Du pole sn...na mm ya kwng ni kama yako na ina shida hizo hizo..inaelekea hizi samsung A10s zina tatizo hilo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haikuwa refurbished mkuu... mpya kabisa... sema nahisi hizi simu zina shida ya display.. na ndo maana nilipoipeleka.. walilielewa tatizo kwa haraka sanaYakwangu mimi bado iko poa kabisa nashkuru, ila kuna wengine hua mnanunua refurbished ndio mnapata matatizo km haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakuwa wamekuahidi kubadilisha bure bac subiria huo muda waliokuambia.Cna ujuzi na a10s ila a10 ni nzuri zaidi kuliko sWakuu, habari!
Nina simu tajwa hapo juu, ambayo nimenunua kama mwezi hivi umepita.
Shida kuu ni ku stuck/freeze mara kwa mara, zaidi sana nikiwa naandika sms.. na wakati mwingine kioo kinakuwa kama kina tetemeka.
Msaada kwa wajuvi..
UPDATE
Leo ( 19 December) nilienda duka la Samsung, wameicheki, wamegundua tatizo ni Display, ila kwa sasa wameishiwa, zinakuja mwezi wa kwanz, hivyo wameniambia nirudi mwezi wa kwanza.
Na huduma ni bure kabisa, kwa kuwa bado ina warrant....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli a10 ninatumia iko vizuri sijawai juta kutumiaProcessor za mtk nyingi vimeo mimi nina A10 toka mwez wa saba sijawah irestore na haifreeze yani inateleza tu
Sent using Jamii Forums mobile app