Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,465
- 51,060
Habari zenu jamani.
Kuna jamaa yangu nimepita kumsalimu ila hali yake si shwari kabisa.
Amevimba tumbo anasema ni mwezi wa sita sasa, anasema tumbo linauma
amepoteza hamu ya kula na hata akila anakula kidogo sana.
Naombeni msaada wenu nijue nianzie wapi kumtafutia tiba ya ugonjwa huu.
Je unafahamika kitaalamu?
Kwa Dar es salaam ama Mbeya ni wapi naweza kumpatia matibabu?
Binafsi nilifikiria kumpeleka Muhimbili.
Tumbo lina ukubwa kama ujauzito wa miezi saba-nane.