shukran mkuu. ntaleta mrejeshoKwanza copy hiyo Video yako to PC, Kwa kutumia hiyohiyo VLC MEDIA PLAYER, Bofya Menu Media =Convert /save, itakupa options 4,chagua file utaona button "add" chagua video yako kisha open, Kwa chini utaona button "convert /save" utapata menu angalia button "video - H. 264 + Mp3 (Mp4 ) click scroll hiyo option HADI chini Click video for YouTube HD, Click button" Browse"File name hapo andika kisha save, Sasa click start button. Itaanza kuconvert Muda kama lisaa limoja itategemea speed ya Computer yako. Baada ya conversion Video yako itakuwa na ukubwa wa Mb kati ya 100 - 200. Quality itabaki ileile sasa ipakie kwenye simu yako. Kazi kwako
mkuu shukrani imekubali, ila imeleta tatizo kwenye sauti inasema unable to play audiootrack. unsupported audio codec.Kwanza copy hiyo Video yako to PC, Kwa kutumia hiyohiyo VLC MEDIA PLAYER, Bofya Menu Media =Convert /save, itakupa options 4,chagua file utaona button "add" chagua video yako kisha open, Kwa chini utaona button "convert /save" utapata menu angalia button "video - H. 264 + Mp3 (Mp4 ) click scroll hiyo option HADI chini Click video for YouTube HD, Click button" Browse"File name hapo andika kisha save, Sasa click start button. Itaanza kuconvert Muda kama lisaa limoja itategemea speed ya Computer yako. Baada ya conversion Video yako itakuwa na ukubwa wa Mb kati ya 100 - 200. Quality itabaki ileile sasa ipakie kwenye simu yako. Kazi kwako
toka.mwanzo ni tatizo la codecs, unatumia player gani? download mx player.mkuu sh
mkuu shukrani imekubali, ila imeleta tatizo kwenye sauti inasema unable to play audiootrack. unsupported audio codec.
hapo juu, ikakubali ila tatizo likawa ni audio, nmedownload mx player nayo inasema audio haisapoti. je nini ilipelekea video mpaka ikawa TEMP VIDEO?toka.mwanzo ni tatizo la codecs, unatumia player gani? download mx player.
mkuu unaporecord kitu au kudownload kinaekwa kama temporary kwanza then ukimaliza kinaungwa ndio unapata file kamili,nilifuata maelekezo nlopewa
hapo juu, ikakubali ila tatizo likawa ni audio, nmedownload mx player nayo inasema audio haisapoti. je nini ilipelekea video mpaka ikawa TEMP VIDEO?