msaada wa tangazo kwenye jf

msaada wa tangazo kwenye jf

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
Naomba ushauri,nataka kuweka tangazo na picha kwenye Jf.
Nimeona ndovu wameweka lao na mimi ningependa niweke jirani na Ndovu.
maana ukisha pata moja ya baridi unakuwa na hamu ya kiti moto.
Je niweke picha ipi?




Pig-2115.jpg





kitimoto.jpg
 

Attachments

  • porchetta.jpg
    porchetta.jpg
    74 KB · Views: 49
asta kafir llah huyo mdudu mtamu jamani!! kha! ......cjui kwa kua anaenda bleed.
POPOBAWA.
 
tz1,

Wacha nikufanyie mpango wa mapumziko mafupi. Yaani umenileta mbio nikidhani una "DEAL" kumbe unaleta maudhi kwa "MS"
Maudhi?wakati nataka kutangaza biashara yangu ya kiti moto.
 
Back
Top Bottom