Msaada wa taarifa - natafuta empty glass bottles

Msaada wa taarifa - natafuta empty glass bottles

Teleskopu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
703
Reaction score
768
Naomba kujua - kwa anayefahamu - mahali ninakoweza kununua chupa tupu
za glass

za robo lita,
nusu lita na
lita moja

kwa ajili ya kuhifadhia vitu mbalimbali.


aa.jpg


Natanguliza shukrani.​
 
Back
Top Bottom