Njia.
Fikiria umri wa Baba = Z
Kwa hiyo umri wa Osaka=1/5 ya umri wa Baba = 1/5 ya Z= 1/5xZ=1/5Z
Miaka 8 ijayo umri wa Baba utaongezeka kwa miaka 8
Kwa hiyo
Umri wa Baba= Z+8
Kwa hiyo kipindi hicho umri wa Osaka
=1/3 ya Z+8=1/3(Z+8)
Tofauti ya umri wa Osaka baada ya miaka nane na kabla ya miaka nane ni sawa na 8
1/3(Z+8) -1/5Z=8
1/3Z+8/3-1/5Z=8
Zidisha na 3 kila upande
Z+8-3/5Z=24
Zidisha na 5 kila upande
5Z+40-3Z=120
2Z=120-40
2Z=80
Z=40
Kwa hiyo umri wa Baba wa Sasa ni miaka 40.