Sean piano mkuuNaomba msaada wa kujua ni sabufa gani ina Bluetooth maana mimi ninayo ya latec lakini naona kama haina bluetooth. Msaada mwenye kujua
Na itajaribishwa mbele yake, kwa aina yeyote atakae ichagua.Simply ukinunua uliza dukan na utest mkuu
Ninayo s-p 1002 nauza lakin haina bluetothtafuta sea piano. model s-p 565
hutojutia