wepson
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 831
- 219
Habarini wanajamvi bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada husika.
Nimefanikiwa kuchaguliwa katika CHUO KIKUU Kimoja cha SERIKALI hapa Dar. Sasa sina uwezo wa kulipa kiasi chote cha Ada nilichoambiwa.
Je mashirika Kama NSSF na mengine yanaweza nisaidia? Au wapi naweza kupata msaada wa haraka, maana usajili unaanza October 3, 2016.
Naombeni msaada wa mawazo