Msaada wa Soko Ninauza Mtama mweupe

maslahi

New Member
Mar 6, 2014
2
0
WanaJF ninaomba kwa yeyote anayefahamu soko zuri la mtama mweupe(mesaya) anisaidie kwani nina tani 130 nilizovuna mwaka jana.zipo katika hali nzuri ktk godown langu hapa Dodoma.Nitashukuru kwa msaada wako:help:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom