Mkuu tupia basi picha kuna watu humu watakupa jina sahihi la hayo maharagwe na kisha watakuonyesha na soko. Hongera sana mkuu kwa kuwa na bidhaa ya kukupatia mapene. Usijali dhidi ya kauli zetu. Kuna wengine tumeboreka na biashara ya wanasiasa.