HESHIMA WAKUU JF:
Nilikuwa nahitaji application either ya kununua au ready made / addons kwa mtu anayeifahamu ambayo nitaitumia ku manage facebook page.
kwa mfano mtu unaweza ukawa unamanage page so unapanga leo nitapost picha , status n.k nahitaji baada ya kukaa na kila mda unapost sasa nataka application ambayo mm nitaweka hivyo vitu mfano picha,status etc alafu nitaweka schedule kwamba ipost yenyewe automatically kwa wakati.
Nahisi nitakuwa nimeeleweka