Msaada wa SMS tafadhali

Makendaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
271
Reaction score
142
Kwanza Heshima kwenu wana Jamvi.

Kuna Tatizo la muda mrefu kwenye sim yangu na bado sijalipatia ufumbuzi
Nimekuwa kila nikitumiwa msg huwa inaweza kuingia zaidi ya hata mara tano
ikiwa ni ileile ya mwanzo.Mwanzoni nilijua ni watu wakinitumia msg huwa wanakosea
wanatuma msg1 zaidi ya mara moja ila baadae nikaja kugundua tatizo liko kwenye
sim yangu hii imekuwa kama kero kwangu mana mtu anawezakunitumia msg 1 ikaingia zaidi ya mara
5 na kwa wakati tofauti.Hii sio kwamba ni no 1 tu msg huwa inajirudi hapana ila msg zote zinazoingia kwenye sm
yangu huwa zinajirudia. Nimeleta hili tatizo hapa kwani inawezekana kuna watu walishakutana natatizo
kama hili wakalitatua au bado hivyo kwa wataalam wa haya mambo naomba msaada tafadhali
nifanyeje ili mtu akinitumia msg isiwe inajirudiarudia? Natumia Samsung Galaxy Poket
SHUKRANI KWENU WAKUU
 
Mimi nilikutana nalo enzi zileeee nipo symbian yaaan sms zilikuwa zinajirud kama za mwaka mmoja uliopita nikiwauliza jamaa wanadai hawajanitumia sms ...... Ila sio kama ww hivyo..... Ila nilihic tatizo ni cm card mana nikiweka line nyingine kitu kinagonga mzigo kama kawaida
.
Baati mbaya wenye shida waliniibia C5 yangu kwa hiyo ckutaka hata ku renew line nikapotezea.....
.
.
..
 
Kila laini unayoweka au ni laini moja tu inafanya hivyo? Kama ni hapana jaribu laini nyingine ya operator yuleyule na ya operator mwingine ulete mrejesho.
 
Kila laini unayoweka au ni laini moja tu inafanya hivyo? Kama ni hapana jaribu laini nyingine ya operator yuleyule na ya operator mwingine ulete mrejesho.
Sm yangu ni Ya lain mbili na mitandao tofauti lakini na mm tatizo kama la mkuu hapo juu hivyo lain zote huwa tatizo ni hilohilo kujirudia rudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…