Wakuu nina simu yangu aina ya Lg LU6200 version ya Korea tatizo lake ni kuwa ukitumiwa sms na number ambayo umeisave, sms hiyo haionyeshi jina ingawa contact imekuwa saved aidha kwenye simu au sim card...sms...huja...imedisplay...Anonymous....kwa anayejua solution la tatizo hili naomba msaada wenu