Kama imekaa tu bila kutumiwa alafu ikafika saa 6 charge imeisha basi itakuwa ina shida lakini kwa kuwa inatumika muda mwingi basi hakuna njia nyingine ya ku-improve charging system maana hizi simu zenye makorokoro mengi zinatumia charge sana tofauti na hizi tochi, unapoitumia simu kwa kuongea charge haiendi sana kama unavyoitumia kwa ku-chat au kuperuzi website kwa kuwa muda wote unaandika screen inakuwa inawaka hivyo charge inakwenda, unless kama kuwe na option kwa mchana kupunguza mwanga kwenye screen