Msaada wa smarphone ya HTC one m9

middle east

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,307
1,681
Habari wakuu, simu yangu haina sehemu ya option ya hotspot wifi....na nimejaribu ku install some apps za hotspot wifi lakin bado inakataaa ku connect......kwa anayefahamu au mwenye idea kuhusu hii issue anipe maujanja ..

Thanks
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom