Msaada wa simulation kwenye simu

debon

Senior Member
Oct 6, 2011
142
81
Salaam wakuu, Kuna Mtu kaomba Msaada WA simulation kwangu kwamba anataka kusoma email take, kwa upendo nikampa, baadae nimekuta amefoward calls zangu kuzifoward kwake, nahisi amefanya zaidi ya hapo,naomba mwenye ujuzi anisaidie ni sehemu Gani nyingine niangalie, asanteni
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mkuu sina ujuzi huo ila nashauri kipindi unasubiri wataalam huku waje jaribu kugoogle
 
  • Thanks
Reactions: MC7
bonyeza phone app;halafu bonyeza menu button ya kushoto kwenye simu itafunguka option ya call forward utarekebisha.
Kwa maneno mengine nenda kama unataka kubalisha sim1 : sim2 or any halafu tumia hard button kushoto kupata menu
 
asante
 
Back
Top Bottom