MBAKI-MTEULE
Member
- Feb 13, 2015
- 8
- 0
samahani ndugu zangu simu yangu inasumbua upande wa meseji huwa zinaingia bila kikomo unakuta sms ya majuzi niliyosoma na nikajibu inakuwa bado inaendelea kuingia yaan mpaka ninechoka kama kuna mtu anafahamu setting yake ajize wana jf simu yangu ni tecno p5 phone namba yangu 0719560330