msaada wa simu yangu SAMSUNG GT-3222

msaada wa simu yangu SAMSUNG GT-3222

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
611
hiyo simu nashindwa kuangalia video online za youtube,nikijaribu kuwatch video inanipa neno unsupported file,naomba kama kuna maujanja yoyote mnisaidie wakuu nipate uondo,tupo wengi wenye hili tatizo
 
Nami nakabiliwa na huu utumbo. ngoja wataalam watusaidie kabla sijaitia kibiriti.
 
duh nami nimekutwa na dhahama hiyo kwenye pc yangu...toka jana haiplay video kwenye youtube.sielewi nimelikoroga wapi...msaada plz
 
simu yako inaonekana haina uwezo wa kukuwezesha kuangalia videos online.
 
mkuu naomba msaada wako, mie samsung laptop yangu imeacha kuplay videos za youtube toka jana...model ni NP300E5Z...Ilikuwa inapiga vizuri tu sasa ghafla imegoma, nikifungua video kwenye yuotube inagoma...nisaidie utatuzi wa problem hii tafadhali...
simu yako inaonekana haina uwezo wa kukuwezesha kuangalia videos online.
 
Back
Top Bottom