naombeni msaada kweli kwani nili format ikakubali sema haijarudi katika hali yake jinsi ya kuwaka tu ina waka kivingine badala ya kuandika samusung galaxy s3 mini 18190 saivi ikiwaka ina andika color my world naombeni msaada wenu
Baada ya kuandika "colour my world" nini kinafuata? Inaload applications na kufanya kazi kama kawaida au inafanyaje? Pia nahisi inaweza kuwa clone ya Samsung galaxy S3 mini na sio original.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.