Msaada wa simu tafadhari!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa simu tafadhari!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Raphael9, Oct 24, 2012.

 1. Raphael9

  Raphael9 Senior Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nahijaji kununua simu yenye internet ya faster!! lakin sijajua ni aina gani ya simu iko vizuri pamoja na bei yake. help
   
 2. N

  Nyasiro Verified User

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  We unapenda simu brand gan mf, nokia,
  sumsung nk na una bajet ya sh ngapi.
  Ukijibu hilo itakua rahisi kupata msada manake
  kuna cm nyingi na nzuri
   
 3. Raphael9

  Raphael9 Senior Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ]We unapenda simu brand gan mf, nokia, sumsung nk na una bajet ya sh ngapi. Ukijibu haul essay war

  Binafsi NOKIA
   
 4. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,278
  Likes Received: 2,953
  Trophy Points: 280
  Ndiyo ukweli wenyewe.
   
 5. Raphael9

  Raphael9 Senior Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  me naona NOKIA na budget yangu imefikia kwa lak 1
   
 6. SuperImpressor

  SuperImpressor JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 1,016
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tafuta simu ambayo ni java enabled na itakuwezesha kutumia browser za kusafia internet, yaani Operamini au UcWeb yaani hizo ni noma hasa operamini ila usinunue simu ya mchina na kama ni made in China basi iwe ni manufacturer original. Nunua Motorola, Nokia Symbian, Sony Ericsson, Samsung. Au waweza nunua Windows Phone kama Qtek , HTC etc. nazo ni java enabled hata hizo nilizotaja hapo juu kuna zenye windows ila kwa kweli browser za java ziko faster kishenzi ingawaje kila kitu kina mapungufu yake. Inbuilt browser ambayo iko moja kwa moja kwenye simu inaenda slow lakini inakokota karibia content zote za web na ili nayo iende spidi unatakiwa kuDisable javascript ili izuie baadhi ya content. Jaribu utakavyoweza.
   
 7. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hiyo kitu inachukuliwa kwa bei gani?
   
 8. SuperImpressor

  SuperImpressor JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 1,016
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nikisema simu ambayo ni Java enabled namaanisha simu yoyote yenye java CLDC Version: 1.1 MIDP Version: 2.0 or higher na pia iwe na heap size kubwa angalau 2000 kwenda juu kwa sababu hiyo ni kama RAM
   
Loading...