Msaada wa simu kutopiga flash

Msaada wa simu kutopiga flash

mangoina

Member
Joined
Jan 31, 2017
Posts
38
Reaction score
18
Habari zenu wakuu wote humu ndani? Hope mko poa? Nina tablet yangu ya samsung s8.4 mwanzoni ilikuwa inapiga camera vizuri na inatoa mwanga wa flash lakini sasa hivi imekata haitoi mwanga wa flash na settings zote ziko vizuri na nimejaribu kui reset lakini bado haitoi mwanga, naamini humu kuna watalaamu naombeni msaada wenu please
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom