R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,140 Reaction score 96,161 Feb 1, 2021 #1 Simu inafuta majina (saved names). Je, hii inasababishwa na nini?
albab JF-Expert Member Joined Jul 6, 2018 Posts 2,000 Reaction score 3,395 Feb 1, 2021 #2 Tatizo la TECNO, ilinitesasana na sikuwahi kulipatia dawa
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,140 Reaction score 96,161 Feb 1, 2021 Thread starter #3 albab said: Tatizo la TECNO. lilinites sana na sikuwahi kulipatia dawa Click to expand... Yes ni tecno, it is rubbish simu
albab said: Tatizo la TECNO. lilinites sana na sikuwahi kulipatia dawa Click to expand... Yes ni tecno, it is rubbish simu
Whackiest JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 1,172 Reaction score 1,460 Feb 1, 2021 #4 Bwana ushauri tunza namba katika email yako lakini ukiweka kwa line au simu zinajifuta lakini kwenye email wala mkuu.
Bwana ushauri tunza namba katika email yako lakini ukiweka kwa line au simu zinajifuta lakini kwenye email wala mkuu.
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,624 Feb 19, 2021 #5 Whackiest said: Bwana ushauri tunza namba katika email yako lakini ukiweka kwa line au simu zinajifuta lakini kwenye email wala mkuu. Click to expand... kweli kabisa
Whackiest said: Bwana ushauri tunza namba katika email yako lakini ukiweka kwa line au simu zinajifuta lakini kwenye email wala mkuu. Click to expand... kweli kabisa