msaada wa simu aina ya coolpad

msaada wa simu aina ya coolpad

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
wana jf nielewesheni kuhusu hii simu aina ya coolpad inatumia line 2 nataka kuinunua kwa sh laki 3. Jee kutokana na bei hyo hapo vp inalIpa? maana isijekuwa ni mchinaa!
 
nikiishasikia Line 2 tu huwa sina imani najua ni mjomba mchina!
 
lakini mbna wachina mda mwngne wanatengeneza orignal cyo zote wanazotengeneza ni fake ivyo
 
lakini mbna wachina mda mwngne wanatengeneza orignal cyo zote wanazotengeneza ni fake ivyo

unauliza then unajijibu

kaka kama ni mimi nisingetoa laki 3 kununua kitu cha kichina hebu nitajie aina full ya hio simu unayotaka kununua ntakupa alternative
 
aina full ya hyo cm ni hyo Coolpad Mi-515 aaf inasemekana hzo cmu zimetengenezwa kwa impot yaan ni kwa ajil ya ndan ya nch hyo hyo haipo kbiashara zaid heb npe mawazo kdg
 
kampuni iliotengeneza hio simu inaitwa spice na sio coolpad, coolpad ni jina la series kama unavyosema desire kwa htc, au note kwa samsung.

pia huyu manufacture ni wa india na sio china na hio simu india inauzwa around laki 2 na 80 kama ni mpya sio mbaya hio bei
 
unauliza then unajijibu

kaka kama ni mimi nisingetoa laki 3 kununua kitu cha kichina hebu nitajie aina full ya hio simu unayotaka kununua ntakupa alternative
haupo sahihi mkuu!!!!ladba uwe specific china ipi!!?
 
nimesema kama ni mimi unanambia sipo sahihi ina maana unataka uwe unaitolea akili yangu maamuzi?
take it easy mr huwezi kumkwepa mchina katika maisha yako ya hapa duniani labda kinadharia lakini kiuhalisia never hata ukiwa abroad utakutana naye hata kwenye chip so don say dat mr.
 
take it easy mr huwezi kumkwepa mchina katika maisha yako ya hapa duniani labda kinadharia lakini kiuhalisia never hata ukiwa abroad utakutana naye hata kwenye chip so don say dat mr.

wewe unaforce niwe nimesema kitu ambacho sijasema mtu aliesoma toka juu hadi chini atakua kaelewa vizuri tu
 
wewe unaforce niwe nimesema kitu ambacho sijasema mtu aliesoma toka juu hadi chini atakua kaelewa vizuri tu
wala hakuna haja ya kutunishiana misuli mkuu swala lenyewe halina hata tija hili, lisitupotezee mda tujadili ni vipi taifa letu litajikwamua katika umaskini unao mkabili mtanzania wa kipato chini.
 
Back
Top Bottom