Msaada wa sim kustuck

Mtu mbalimbali

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
315
413
habari zenu wanajukwaa hili natumaini mko poa.
poleni na majukumu yenu ya kila siku ikiwa ni pamoja na kujikinga na corona

straight to the point, sim yangu inatatizo la kustuck mara kwa mara sasa sijajua labda sababu ni ram ndogo (1 gb) au storage kujaa na je kama nikiweka external storage ambayo itakuwa free tatizo litapungua?

naomba kwa mwenye ujuzi wa mambo hayo anisaidie kwa faida yangu na wote wenye tatizo kama hilo.
asante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu kustack shida huwa ni storage ndogo tafuta memory card kwa ajili ya kuipa nafasi simu yako
habari zenu wanajukwaa hili natumaini mko poa.
poleni na majukumu yenu ya kila siku ikiwa ni pamoja na kujikinga na corona

straight to the point, sim yangu inatatizo la kustuck mara kwa mara sasa sijajua labda sababu ni ram ndogo (1 gb) au storage kujaa na je kama nikiweka external storage ambayo itakuwa free tatizo litapungua?

naomba kwa mwenye ujuzi wa mambo hayo anisaidie kwa faida yangu na wote wenye tatizo kama hilo.
asante!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom