Msaada wa shule nzuri za advance zenye gharama nafuu

givoh23

Member
Mar 9, 2017
85
125
Heshima zenu wakuu... Naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa shule za advance zenye mchepuo wa CBG kwa hapa dar na mikoa ya karibu... Natanguliza Shukrani
 

givoh23

Member
Mar 9, 2017
85
125
Aha.. Vipi mkuu za serikali kwa mfano ikiwa mtu anataka kurudia anaezakuomba admission wakati wa kuanza masomo au ni mpaka mtu achaguliwe kwenye shule husika...
 

Kijana matata

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
559
500
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.
 

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
9,000
2,000
Heshima zenu wakuu... Naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa shule za advance zenye mchepuo wa CBG kwa hapa dar na mikoa ya karibu... Natanguliza Shukrani
Kuna shule iko Kongowe (kama unaelekea Mlandizi/Kibaha) inaitwa Waamuzi iko very cheap ni shule ya Wakatoriki kama sikosei ada yao ni around milion moja na chenji kidogo sana.

Nilipata contact yao 0655307210
Kwa bahati mbaya sikuwahi kufika kuiangalia baada ya kushindwa kumpeleka mlengwa (mwanafunzi), aliamua kwenda kusoma kozi ya afya badala ya advance
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom