Ndugu wanajamii huyu jamaa aliyeleta hoja yake hapa ni sahihi kabisa,Code of good practice,rule 2007,ipo kwa mimi ni HR Manager ninayo hapa ofisini kwangu ya "English version"pia ninayo ya kiswahili,ninaambatanisha hapa ya kiswahili iko kwenye PDF file,kama wewe unafanyakazi,hii itakusaidia kuelewa taratibu kama umeachishwa kazi kinyume na taratibu.Lakini wengi hamkuwa na taarifa kama ipo.