Nafanya kazi kwenye sekta binafsi,niliitwa kwenye meeting na boss wakiwa na hr manager.wakanitumu utendaji usioridhisha,wakasema hawawezi kuendelea na mimi,wakaomba niache kazi by mutual separation,wakiniahidi kunilipa stahiki zangu za miezi 5,kwanza nataka kujua unaweza kumtuhumu mwajiriwa bila kuwa na supporting documents,pili kama nitakubali kulipwa ni miezi mingapi,na naweza kuwashtaki baada ya kuchukua hizo pesa